Kifaa kidogo kabisa kinachokuwezesha kufutilia mali zako kwa kutumia 'simu janja'(Smartphone)
By Ibrahim, (@rackee)
Ushawahi sahau funguo mahali? Inatokea mara nyingi bila shaka.Uko mishe mishe, ghafla unarudi nyumbani.Unapofika, unagundua huna funguo za milango na hujui umeziacha wapi.Unaanza 'kuzunguruka' ukiwa 'umepanic' ukijaribu kutafuta mahali ambako unadhani labda uliziacha.Inakera sana, hasa ikiwa ni Jumatatu,huna hela,jua kali na hujala!!!
SULUHISHO.- TrackR
Huhitaji kusumbuka sana kuzunguka huku na huko wakati teknolojia imeturahisishia mambo kwa kutuletea kifaa kidogo sana, cha gharama nafuu kwaajili ya kufuatilia mali zetu(Mfano Gari, Funguo n.k)
TrackR ni nini?
TrackR. Ni kifaa kidogo sana cha kisasa cha ufuatiliaji(state-of-the-art tracking device) chenye ukubwa wa sarafu ya shilingi mia. Kinabadilisha namna tunavyofuatilia mali zetu za thamani katika maisha ya kila siku.
TrackR inafanyaje kazi?
Ni rahisi sana! Una-Install bure application ya TrackR app katika simu janja yako, unaiunganisha application na simu yako.. tayari! Kisha unabandika kifaa hiki katika mali yoyote unayotaka kuifutilia.Zoezi zima la ku-set linachukua chini ya dakika 5.
Unaweza kubandika kwenye FUNGUO,BRIEFCASE,BEGI,WALLET,GARI,LAPTOP ikiwezekana unabandika mpaka kwenye nguo ya mume au mkeo.... Eee si ndio??(Ukimpenda utamlinda).Baada ya hapo tumia applictaion ya TrackR kutafuta mali yako ilipo ndani ya sekunde kadhaa.
Sahau kuhusu 'GPS systems' au 'tracking services' za gharama.Hakuna anaetaka kulipa gharama kubwa kwaajili ya huduma ambazo zinaweza kupatikana kirahisi. Na ndio maana TrackR ikatengenezwa.Kifaa hiki ni muhimu sana kama hutaki kupoteza vitu vyako vya thamani.
Unakumbuka kuhusu kupoteza funguo? Kama una TrackR, unaishikiza pamoja na funguo.Ukisahau funguo mahali unachukua simu yako na kufungua application ya TrackR.Bonyeza kwenye kitufe cha "lost item" na application itakuonyesha mahali funguo zako zilipo.
INAGHARIMU HELA NGAPI?
Bila shaka unajiuliza kifaa hiki kina gharama kwa kiwango gani.TrackR inapatikana kwa $50! sawa na Tshs 112,500/= tu!Hicho ni kiwango kidogo sana kulinganisha na ulinzi utakaopata wa mali yako ya thamani, au siyo?
WAPI NINUNUE HII TrackR?
Unaweza kununua moja kwa moja kutoka kiwandani kupitia wavuti ya kampuni.Wanakufikishia popote ulipo ulimwenguni ndani ya wiki moja tu.Kwa Tanzania kifaa hiki kitaanza kupatikana kupitia maduka yetu ya RACKEE
Mimi.. ninashukuru.
#rackee
By Ibrahim, (@rackee)
Linda mali zako ~ Rackee |
Ushawahi sahau funguo mahali? Inatokea mara nyingi bila shaka.Uko mishe mishe, ghafla unarudi nyumbani.Unapofika, unagundua huna funguo za milango na hujui umeziacha wapi.Unaanza 'kuzunguruka' ukiwa 'umepanic' ukijaribu kutafuta mahali ambako unadhani labda uliziacha.Inakera sana, hasa ikiwa ni Jumatatu,huna hela,jua kali na hujala!!!
SULUHISHO.- TrackR
Huhitaji kusumbuka sana kuzunguka huku na huko wakati teknolojia imeturahisishia mambo kwa kutuletea kifaa kidogo sana, cha gharama nafuu kwaajili ya kufuatilia mali zetu(Mfano Gari, Funguo n.k)
TrackR |

Post a Comment
Post a Comment