const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); PICHA 9: MELI KUBWA YA KISASA YA AZAM YATIA NANGA BANDARI YA TANGA KWA MARA YA KWANZA - HABARI MPYA

..

PICHA 9: MELI KUBWA YA KISASA YA AZAM YATIA NANGA BANDARI YA TANGA KWA MARA YA KWANZA


Kwa mara ya kwanza Meli kubwa ya kubeba abiria ya Azam Sea Link 2 imetia nanga Bandari ya Tanga leo.

Meli hiyo ina uwezo wa kubeba tani 717 ikiwa na uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 1,000 na magari zaidi ya 100 kwa mara moja.

Meli hiyo inatarajiwa kufanya safari zake na kutoa huduma za kubeba abiria na mizigo ikiwemo magari kutoka Pemba kwenda Unguja hadi Tanga mara moja kwa wiki.

Related Posts

Post a Comment