const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Picha: Eric Omondi kuja na parody ya ‘The Gods Must Be Crazy’ - HABARI MPYA

..

Picha: Eric Omondi kuja na parody ya ‘The Gods Must Be Crazy’

Baada ya kufanya parody ya filamu maarufu ya Afrika Kusini, Sarafina, mchekeshaji wa Kenya, Eric Omondi anarejea tena na parody ya filamu maarufu ya ‘The Gods Must Be Crazy.’
Omondi ameiita parody yake, The Gods Are Not Crazy: We are.

The Gods Must Be Crazy ni filamu ya mwaka 1980 ya Afrika Kusini iliyowahi kufanya vizuri kibiashara katika historia ya nchi hiyo. Ikiwa na bajeti ya dola milioni 5, filamu hiyo iliingiza dola milioni 60.
Chini ni picha za parody hiyo akiwa na mchekeshaji mwingine, Chipukeezy.

Related Posts

Post a Comment