const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); ORODHA YA WAHALIFU KUMI (10) WANAOTAFUTWA ZAIDI NA FBI NCHINI MAREKANI - HABARI MPYA

..

ORODHA YA WAHALIFU KUMI (10) WANAOTAFUTWA ZAIDI NA FBI NCHINI MAREKANI


Orodha hii wahalifu wanatafuta sana kwa makosa mbali mbali waliyotenda inatoka kwenye ukurasa wa FBI ya nchini Marekani. Kutaka kufahamu makosa yao na maelezo mengine juu ya wahalifu hao bonyeza link moja kwa moja kwenye majina yao. Na kama ukibahatika kutoa taarifa ya mmoja kati yao kuna zawadi imewekwa katika kila maelezo ya mhalifu.


ALEXIS FLORES
YASER ABDEL SAID
ROBERT FRANCIS VAN WISSE
TERRY A.D. STRICKLAND
LUIS MACEDO
JASON DEREK BROWN
MARLON JONES
ROBERT WILLIAM FISHER
EDUARDO RAVELO
WILLIAM BRADFORD BISHOP, JR.

Related Posts

Post a Comment