Mkuu wa mkoa wa njombe Christopher Olesendeka Akizungumza na wafanyakazi wa Tanwat Mkoani njombe ambao wanadai wanamatatizo Lukuki
WAFANYAKAZI wa kiwanda cha kuchakata Mazao ya Mbao mkoani Njombe cha Tanganyika Wattle Tanwat wamelalamikia kuwapo kwa ukandamizaji wa haki kutoka kwa uongozi wa kiwanda hicho na kusababisha haki za wafanyakazi hao kuminywa ikiweme mishahara duni.
Malalamiko hayo wanambwakia mkuu wa mkoa wa njombe Christopher Ole Sendeka bada ya kuitwa na fafanyakazi hao kusikiliza kilio chao ambapo wamemwambia kuwa wamekuwa wakinyimwa fidia baada ya kupata ajali kazini huku wanao jifungua kuto rudi tena kazini.
Wafanyakazi hao wazungumza mbele ya mkuu wa mkua wa Njombe alisema kuwa kiwandani hapo wamekuwa wakilipwa mshahara wa chini kuliko uli unaopendekeza na serikali kuwa mshahara wa chini kwa sekta binafsi.
Wale ambao washa wahi kuumia wanatoa mamalalamiko yao kwa mkuu wa mkoa wa Njombe ya kuto lipwa fidia baada ya kuumia.
Mkuu wa mkoa anaunda tume kwaajili ya kuchunguza tuhuma hizo dhidi ya uongozi wea kampuni hiyo na kuwataka wafanyakazi kuto sema uongo.
Kiwandani hapo kunadaiwa kuwawapo kwa manyanyaso kwa wafanyakazi wa kada zoto huku wengine wakitakiwa kuhama katika vitengo vyao kwa kuwa wanaonikana kudai haki mkuu wa mkoa anatoa tamko la kuto wahamisha.
Post a Comment
Post a Comment