MBUNGE wa jimbo la Njombe kusini Mh. Edward Mwalongo ameshangazwa na mradi wa maji wa Lugenge Kuchukua muda mrefu bila kuleta maji huku akisema serikali imekuwa ikitoa fedha kidogo kidogo.
Pamoja na serikali kutoa fedha zake kidogo kidogo mradi huo wa maji unao Gharimu mapilioni ya shilingi za kitanzania awali ulikuwa unafadhiliwa na Benki ya Dunia ambayo haifanyi hivyo kwa sasa.
Mbunge wa jimbo la Njombe kusini Mh. Edward Mwalongo anasema kuwa ameamua kufika kijijini hapo baada ya kuona mradi huo unachukua muda mrefu na kuwaeleza wananchi kinacho endelea.
Hata hivyo baada ya Startv kuonyesha habari baada ya wananchi kufika katika chanzo cha maji Mbunge anasema aliamua kufika katika chanzo hicho kabla ya kuzingumza na wananchi hali aliyo iona anawaeleza wananchi.
Wananchi wanakuwa na wasiwasi wa anaye tekeleza meradi huu na kuuliza maswali kwa mbunge baada ya kupata maelezo mafupi kutoka kwake.
Mbunge anaongeza kuwa kuto kamilika kwa mradi huo ni kikwazo cha miradi anayo itaaja.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI.............
Post a Comment
Post a Comment