const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Jifunze juu ya Mwanzo wa mafanikio yako!! - HABARI MPYA

..

Jifunze juu ya Mwanzo wa mafanikio yako!!

Mwanzo wa mafanikio kwenye eneo lolote ni kujua aina na kiasi cha mafanikio unayoyahitaji.
Uwe na picha kamili ya kile unachotaka. Uweze kukiona kama vile kinesha tokea. 
Ukiendelea kusema iko siku utafanikiwa na hujui unataka nini basi utaendelea kusubiri.
Jua kabisa nini unataka, na jipe muda wa kugikia lengo lako. Halafu weka mikakati ya kila siku kufikia malengo yako.

UKIJUA UNAPOKWENDA ITAKUSAIDIA KUCHAGUA NJIA, MUDA NA MWENDO WA KUENDEA

Related Posts

Post a Comment