Wanawake nchini Zambia wameanza kuchukua siku moja ya mapumziko kila mwezi wanapokuwa kwenye hedhi.
Mapumziko hayo yanaitwa ‘Siku ya Mama’ kutokana na kuwa ni mwiko kujadili jambo hilo nchini humo, hivyo basi chini ya sheria ya kazi, wanawake wa Zambia hawapaswi kwenda kazini siku moja wanapokuwa kwenye hedhi, na wanapaswa kutoa taarifa kwa njia ya simu tu kumueleza mwajiri kuwa wapo katika mapumziko ya ‘Siku ya Mama.’
Post a Comment
Post a Comment