Vanessa Mdee Azua Balaa Siri Nzito Ya Mimba Yake Imemshtua Jux, Tazama Hapo Zaidi

Mwanadada mkali wa kuimba kwa wadada bongo Vanessa Mdee ameingia kwenye maneno ya mashilawadu baada ya kuonekana ana mimba yaani tumbo kuubwaaa wakati kukiwa hakuna ushilawadu wowote aliotangaza kwa media,

hii imewachanganya sana mashabiki zake ambao hawana taarifa ya tumbo lake, Je??? ndio ujauzito au kitambi tu cha kushiba chips kuku?? Hebu weka comment yako hapo chini…!!!

Related Posts

Post a Comment