const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); VIDEO: JOTI AKIIMBA WIMBO WA DARASSA- MUZIKI - HABARI MPYA

..

VIDEO: JOTI AKIIMBA WIMBO WA DARASSA- MUZIKI

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Joti amerudia wimbo wa mwanamuziki Darassa unaokwenda kwa jina la Muziki.
Huu ni wimbo uliofanya vizuri tangu ulipotoka mwezi Disemba mwaka jana hadi sasa. Wimbo huu ni wa Darassa ambapo amemshirikisha Ben Pol ikiwa ni wimbo wao wa pili kuimba pamoja baada ya ule wa Sikati Tamaa.
Burudika na video hapa chini;

Related Posts

1 comment

  1. *HAYA TENA KWA MARA NYINGINE TENA BAHATI HAIJI MARA MBILI* *JE, WAJUA BANDO NA SIMU YAKO NI MTAJI TOSHA?*Kama huna ajira na unataka kuongeza kipato chako *Furusa hiyo fungua link hii http://Cashni.com/?refcode=102945
    ujipatie pesa haraka sana kuliko kupoteza bando bila faida yoyote jaribu sasa uwaambie na members wengine watumie furusa hii*

    ReplyDelete

Post a Comment