const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); afya - HABARI MPYA

..

Showing posts with the label afya

Haya ndio madhara ya kufanya mapenzi kupita kiasi. Soma Hapa

Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.

Njia Rahisi Za Kuepuka Na Kupambana Na Magonjwa Ya Moyo

Pamoja na magonjwa ya moyo kuwa chanzo kikuu cha vifo vingi duniani kuna uwezekano mkubwa wa kuyaepuka au kuishi nayo salama kwa kubadili mfumo wa maisha tunayoishi. Hizi ni baadhi ya njia unaz…

WATU WENYE VITAMBI WAPO KWENYE HATARI YA KUPATA UGONJWA WA SARATANI

Leo January 16, 2018, Nikusogezee utafiti uliofanywa ambao umeonesha kuwa unene unaweza kuongeza hatari ya kupata ugonjwa wa saratani, hasa kwa mafuta yaliyoko tumboni yanaleta hatari kubwa zaidi…

“Kulaza watoto wachanga chali hupunguza vifo vya ghafla - Utafiti

Wakinamama wameshauriwa kuzingatia kuwalaza watoto wao kwa mgongo yani chali na sio kifudifudi kama ilivyozoeleka kwa wanawake wengi ili kupunguza hatari ya matatizo ya vifo vya ghafla vya watoto y…

Kula Chipsi mara 2 au 3 kwa wiki kunasababisha vifo kwa vijana - Utafiti.

Utafiti uliofanywa na Wanasayansi kutoka National Research Council umegundua kuwa ulaji wa chipsi au viazi vilivyokaangwa mara mbili au zaidi kwa wiki husababisha vifo vya mapema kwa vijana kwa zai…

JE WAJUA !Kwanini wanawake hula vyakula vya ajabu wakiwa wajawazito? soma hapa

Tabia hii inayojulikana kwa Kiingereza kama “Pica” inatokana na mtu kutamani kula vitu vyenye virutubisho kidogo sana au visivyo na virutubisho vya aina yoyote kwa mwili. Tamaa hizi huwa zinawa…

Siku za mwanamke kupata mimba.

Njia ya kalenda ni moja ya njia ambazo wenye kushikilia mila na desturi na imani za kidini hupendelea kuitumia njia hii ya asili ili kufanya uzazi wa mpango. Njia ya kalenda ni njia inayohitaji…

FAIDA ZINAZOPATIKANA WATOTO KUNYONYA VIDOLE

Ripoti mpya inasema watoto wanaonyonya vidole au kung’ata kucha zao kwa meno huenda wasipate matatizo ya kuathirika kutokana na mazingira hewa au kula vyakula fulani. Unyonyaji wa kidole gumb…

Njia rahisi ya kuondoa kitambi bira garama

MADHARA 6 YA KUTOA MIMBA,

Kutoa mimba ni nini? Hii ni hali ya mwanamke kwa hiari yake mwenyewe kuharibu mimba iliyoingia ndani ya kizazi chake.Kutokana kuongezeka kwa idadi ya mahusiano duniani na kutotumia njia za uzazi w…

Usiteseke na Jino linalouma, Tiba Hii Hapa!

Meno ni muunganiko wa mfupa wa jino, Fizi na Mishipa. Maranyingi watu wengi huwa pale wanapoumwa na jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino kuling’oa jambo ambalo si kweli. Tambua ndugu y…

Njia za kutambua kama ni mtoto wa kike/kiume wakati wa ujauzito?

Tumbo Wazoefu wanaamini kuwa endapo utakuwa umebeba uzito mdogo tumboni na tumbo dogo mtoto atakuwa ni wa kiume. Chunusi  Uwepo wa chunusi nyingi na mara kwa mara ni ishara kuwa umebeba…

Madhara 6 ya Kufanya mapenzi kipindi mwanamke akiwa na hedhi.

Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana.  Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madh…

Sababu Za Uke Kutoa Harufu Mbaya

Ni matumaini nyote mnaendelea vyema, nami alhamdulillah ala kul Hali naendelea vyema Leo naona ni bora tukazungumzia tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni maana watu wengi hudhani kuwa na har…

NJIA RAHISI ZA KUONDOA HARUFU MBAYA MWILINI

Kila mtu ana jasho au harufu ya kipekee mwilini na ndiyo maana kila mtu ana mahitaji ya kipekee katika kutunza mwili wake. Viungo vifuatavyo ndivyo hasa vinavyotoa harufu mbaya: KINYWA Kuna…

TATIZO LA KUOTA MATITI KWA WANAUME NA WATOTO (GYNECOMASTIA)

Tatizo la kuota matiti kwa wanaume na watoto limekuwa kubwa sana katika dunia ya leo. Inawezekana kabisa wakati unatembea njiani ukaona wanaume au watoto wadogo wa kiume wakiwa na matiti makubwa am…

NJIA RAHISI YA KUZUIA KUKOROMA UKILALA

Kukoroma ni tatizo linalowapata watu wengi wakati wanapolala ambalo linaweza kuwatokea watu wa kila umri ingawa hutokea mara nyingi kwa wanaume au watu wanene. Kukoroma huzidi kwa  kadri umri u…

SABABU NA NJIA ZA KUZUIA KUPASUKA VISIGINO (GAGA), PAMOJA NA TIBA

Kuwa na miguu au visigino vilivyopasuka (gaga au machacha) ni moja ya sababu inayoweza kuonyesha kuwa katika mwili kuna upungufu wa virutubisho kadhaa, vitamini au madini. Japo wengi wetu tumekuw…

KUPIGA PUNYETO SI JAMBO BAYA, SABABU HIZI HAPA

Ukweli ni kwamba, jambo la kujichua/kupiga punyeto limekuwepo kwa miaka mingi sana. Ni sawa kabisa na ni jambo la kawaida kama unaogopa kupiga punyeto, lakini ni vizuri ukajua kwamba watu wamekuwa w…

ZINGATIA YAFUATAYO ILI KUONDOA SUMU MBALIMBALI MWILINI

Mwili unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika kwa namna mbalimbali, ama kupitia mazingira tunayoishi (viwanda, migodi), au kupitia vyakula na vinywaji ambavyo tunatumia kila siku. Sumu au…