const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); China: Beijing yakumbwa na baridi kali kuwahi kushuhudiwa katika historia - HABARI MPYA

..

China: Beijing yakumbwa na baridi kali kuwahi kushuhudiwa katika historia

 Mji mkuu wa China, Beijing, umekumbwa na baridi kali zaidi kuwahi kushuhudiwa tangu mwaka 1951.


Viwango vya katika jiji hilo mara kwa mara vimeshuka chini ya nyuzijoto-10C mwezi huu.


2023 umekuwa mwaka wa hali mbaya zaidi ya hewa katika mji mkuu: miezi sita iliyopita, Beijing ilirekodi kiwango cha juu zaidi cha kuwahi kutokea Juni - zaidi ya 40C.


China tayari imekumbwa na misururu ya hali ya hewa ya baridi kali msimu huu wa baridi.


Sehemu za kaskazini mwa Japan zimeshuhudia theluji nyingi, na Korea Kusini imekuwa ikikabiliana na baridi kali.

Haijabainika jinsi watu wanavyokabiliana na hali hiyo nchini Korea Kaskazini.


Related Posts

Post a Comment