
Unajua siku hizi wanaume wengi wanakurupuka sana katika kufanya maamuzi ya haraka katika kutongoza msichana anaye mpenda kwa dhati, hivyo basi inapelekea kupigwa kibuti angali alikuwa anapenda kweli, Cha kwanza jitathmini je? Unajiweza?? Umejiweka tayari kweli kumiliki mtoto ambaye mtakuwa na ndoto za baadaye au ni kuchezeana tu, Walio wengi siku hizi hakuna mapenzi ya dhati zaidi ya kufurahishana kimwili tu.
Post a Comment
Post a Comment