const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Zari ajitetea kwa Diamond kuhusu tuhuma za kuchepuka - HABARI MPYA

..

Zari ajitetea kwa Diamond kuhusu tuhuma za kuchepuka

Baada ya Diamond kuonyesha kuumizwa na picha ya Zari inayomuonyesha akiwa na kidume mwingine kwenye swimming pool, mrembo huyo ameshindwa kuvumilia kwa kuamua kujitetea kutokana na sakata hilo zito linalomkabili.


Kupitia mtandao wa Instagram Zari amejitetea kwa kuandika, “Photo credit was by his wife. He is my kids’ uncle, the late’s cousin And I happened to meet them at a spa. When you are that IT loyal gal, someone will always find fault when it’s not there just to cover and turn around stories of all the dirty they do behind you back.”



ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Related Posts

Post a Comment