JAMII imeiomba serikali kuweka wazi hatua za kuomba nafazi za kujiunga na jeshi la kujenga taifa ili kuondoa matapeli ambao wamekuwa wakitapeli wazazi na vijana na kuwaahidi kupata nafasi hizo na kuwataka kutoa pesa.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti mkoani Njombe wakazi hawa wanasema kuwa ni vema serikali ikaweka wazi namna mutu anaweza kuingia jeshini.
Luka Mgaya ni mmoja wa wakazi mkoani Njombe anasema kuwa kuna baadhi ya watu amewashuhudia wakiwa wamefeli kuingia jeshini na kuishia kutapeliwa.
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Njombe Ruth Msafiri anatoa ufafanuzi namna ya kuomba nafasi hizo huku kuhusu fedha ili kupata nafasi hiyo.
ONA WATU WANAVYO TAPELIWA NAFASI ZA JESHI...........
Post a Comment
Post a Comment