const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); TzTown Tv: ONA 'VIUNGO VYA BINADAMU' VILIVYO MULIKWA NA ... - HABARI MPYA

..

TzTown Tv: ONA 'VIUNGO VYA BINADAMU' VILIVYO MULIKWA NA ...

Post a Comment
SAFARI ya kuelekea serikali ya viwanda Inaendelea katika maeneo mbalimbali na viwanda vimeaza kufanyakazi katika mikoa ya nyanda za juu kusini na kuanza kuisaidia jamii ya watanzania huku jamii ikihimizwa kupeleka Mazao yao viwandani kabla ya kuuza na kuuza bidhaa.
Mwenge wa Uhuru ukiwa Halmashauri ya Makambako, wangingombe na Makete unazindua na kuweka mawe ya msingi katika viwanda na maghara, mbio zikiwa Makambako Mwenge murika kiwanda.
Kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa anatoa kauli yake baada ya mwenge kumurika hapa baada ya kupata taarifa hii.
Vumbi linaendelea kutimuliwa katika mbio za mwenge wa Uhuru kufika katika halmashauri hii iliyo angaziwa na mwenge kwa mara ya pili ikiwa ni mwaka jana na mwaka huu mwenge unaangaza katika kiwanda cha kusaidia walemavu wa kudumu kwa kuwatengenezea viungo cha Inuka.
Hata wasio na miguu kabisa hawatumii Baiskeli za kukokota lakini wanatumia miguu bandia kutembea ni vifaa vinavyo tengenezwa hapa Wangingombe.
Mbio zinaendelea huku wimbo wa mwenge huo mwenge Mbio mbio ukitawala na kukabidhiwa halmashauri ya Wilaya ya Makete.
Kwenye baridi mwenge unamurika mpaka kituo cha kuhifadhi Matunda ili wakulima wasipate shida ya uhifadhi na kusubiri soko linalokubalika bila hofu ya kuharibika ni tani nyingi za matunda zinavunwa halmashauri hii viwanda vya juisi vikianzishwa matunda yapo.
Viwanda vidogo vidogo navyo vinamulikwa na mwenge wa uhuru ukiwa hapa Makete ni kiwanda cha samani mbalimbali huku veta nao wakitakiwa kuweka utambulisho wao kwa bidhaa wanazozizalisha.

Related Posts

Post a Comment