const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); MMILIKI wa Lucky Vicent na Makamu Mkuu wa Shule Ambayo Wanafunzi Wake 33 Walikufa Ajalini Arusha Waachiwa kwa Dhamana..!!! - HABARI MPYA

..

MMILIKI wa Lucky Vicent na Makamu Mkuu wa Shule Ambayo Wanafunzi Wake 33 Walikufa Ajalini Arusha Waachiwa kwa Dhamana..!!!

Mmiliki wa shule ya msingi Lucky Vincent,Innocent Mosha amefikishwa mahakamani jana mjini hapa kujibu makosa manne yaliyosababishwa na ajali ya basi lake lililouwa watu 35 wakiwamo wanafunzi 32.


Pia makamu Mkuu wa shule hiyo,Logino Vicenti amepandishwa kizimbani kujibu shitaka moja la kuongeza abiria 13 kwenye gari lililopata ajali.

Mwendesha mashitaka Rose Sulle ameiambia mahakama mbele ya hakimu mkazi Desderi Kamugisha kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika.

Watuhumiwa wamepata dhamana kila mmoja yenye thamani ya Sh 15 milioni. Kesi itatajwa tena Juni 8 mwaka huu.

Related Posts

Post a Comment