Gwajima Atangaza Kuwaumbua Wanaomchokoza..Adai Atawavua Taulo Hadharani..!!!

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amewatahadharisha wanaomchokoza akisema ni sawa na mtu anayeanzisha ugomvi huku akiwa amevaa taulo.

Akihubiri jana, Gwajima amesema wakiendelea atawavua mataulo ili jamii iwaone.
Bila kufafanua kuhusu kauli hiyo, Gwajima amesema hawezi kunyamaza wakati watu wanaendelea kumfuata fuata.

"Leo nitakwapua mataulo ya watu,"amesema huku akishangiliwa na waumini wake.

Related Posts

Post a Comment