const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); #BREAKINGNEWS Basi lililobeba wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent Lapata Ajali na Kuuwa - HABARI MPYA

..

#BREAKINGNEWS Basi lililobeba wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent Lapata Ajali na Kuuwa


Basi aina ya Toyota Coaster lililobeba wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent ya Arusha limetumbukia bondeni Karatu. 
Zaidi ya watoto 20 na waalimu wanahofiwa kufa. 
Walikuwa wakienda tour kwenye hifadhi ya Ngorongoro. 
Ni ajali kubwa na mbaya kuwahi kutokea tangu ya miaka 7 iliyopita. 
Pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza watu wao katika ajali hii mbaya, Mungu azilaze roho za marehemu pepon

Related Posts

Post a Comment