const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); RAIS WANGU MAGUFULI: Waziri Wako wa VIWANDA Ndio Atakayetuangusha Kwenye Tanzania ya Viwanda..!!!! - HABARI MPYA

..

RAIS WANGU MAGUFULI: Waziri Wako wa VIWANDA Ndio Atakayetuangusha Kwenye Tanzania ya Viwanda..!!!!

niseme tu ukweli kuwa viwanda havijengwi siku moja pengine hata mwaka mmoja!
mwanzoni wananchi waliaminishwa kuwa serikali ndo itajenga viwanda lakin baadae mambo yalibadilika tukaambiwa wawekezaji ndo watakuja kujenga viwanda!

wazungu na wachna wanatucheka sana kwa kuwa hatujui tunatoka wap tunaelekea wapi!


mwijage kamuangusha rais kwa kuwa hakuja na mpango wa kweli wa kujenga viwanda! huwezi kutuambia kuna kiwanda cha matrekta kinajengwa wakat hakuna hata malighafi moja ya trekta inayotengenezwa nchini, Hiyo ni ASSEMBLY kwa maana hata goroli au taa ya trekta inatengenezwa nje huko! na kiwanda kitaishia kuleta ajira ya watu 50 tu
hv mfano kwa kuwatumia hata SUMA JKT tungeanza na kujenga kiwanda kama cha SAMAKI, tukanunua meli zetu hata mbili kubwa za maana zenye crane ya kukamata samaki wakubwa kabisa! kwanza kiwanda kingekuwa pure and 100% tanzanian! 

kiwanda hchohcho cha samaki kingetoa BYPRODUCTS ambazo tungetengeneza hata chakula cha kuku, mafuta ya samaki na mbolea ya asili pia! hapohapo tungetengeneza ajira kibao ukianzia baharini ajira, kiwandani ajira, wasambazaji ajira, wauzaji ajira, yan mji ajira ajira ajira! huo ni mfano tu wa kiwanda kimoja ambacho hata gharama yake ingekuwa ndogo na soko lake la uhakika wa 100% hata kama tungeuzia jesh tu kiwanda kingepata mabilioni kila kukicha!

halafu tungekuwa tunauziana samaki hata elfu 4 kwa kilo
swali langu kwa mwijage je hata kiwanda hcho cha mfano kinahtaji uwekezaji kutoka nje au waziri na wewe upo kwenye mpango wa kumuangusha raisi wetu!??? 

swali la pili, je kwa kutumia mfano huo wa kiwanda cha samaki je ingeshndikana kujenga viwanda vingi vya kutumia malighafi zetu wenyewe ambavyo ving vingetokana na mazao ambayo yangewapa ajira kubwa watanzania? jaman mwijage hata kiwanda cha karatasi ambacho miti ipo iringa? hujaona hlo mpaka ulete kiwanda cha ku ASSEMBLE mavitu yaliyokwisha tengenezwa nje? hapa panatia shaka !

najua wapo watakaonizodoa na kusema sina maana lakin ukweli utabakia ukweli, huwezi kushndana na wazungu eti kutengeneza magari wakati wao walishajiimarisha kwa miaka zaid ya 200!

I wish ningekuwa mie ndo waziri wa viwanda! haki ya mungu leo hii tayari ningeshajenga viwanda na ela ya magufuli ningekuwa nimesharudisha na faida kibao mpaka sasa rais angekuwa anafurahia matunda ya kuhubiri viwanda huko na huko wakat wa kampeni! napata uchungu wa kutaman hata kukata kichwa cha mtu kumuweka alama tu ajue alikosea!

lazima kufanya uthubutu sio kutegemea wawekezaji hadi kiwanda cha kugharimu bilioni 5 unaleta mwekezaji ni aibu!

mwijage ana maneno mengi sana mdomoni mpaka anakera! umemdanganya raisi eti kuna viwanda elfu 52 khaaaa! yan hata mtu akiwa na cherehani mbili za kushona nguo basi imekuwa kiwanda khaaaa:confused::(:rolleyes:

tupishe bwana mwijage muda unaenda na unaweka kiwingu sie tunataka viwanda vya watanzania sio wahindi na wachna!

uwezo tunao na nia tunayo tukiamua tutatoka hapa tulipo

Related Posts

Post a Comment