const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Mwakyembe Amjibu Juma Nkamia Juu ya Yeye Kukaa Meza Moja na Roma Mkatoliki Siku Alipokutana na Waandishi wa Habari..!!! - HABARI MPYA

..

Mwakyembe Amjibu Juma Nkamia Juu ya Yeye Kukaa Meza Moja na Roma Mkatoliki Siku Alipokutana na Waandishi wa Habari..!!!

Mwakyembe: Idara ya Habari Maelezo iko ndani ya Wizara yangu, ofisi yangu iko pale, mimi nimefuata mtu au amekuja ofisini kwangu.
Mwakyembe: Roma alivyopotea ndugu zake walikua wananipigia mimi simu na sio Nkamia huyu kijana aliyetekwa ameniomba mimi nimsaidie'
Mwakyembe: Mheshimiwa Nkamia unashangaa mimi kukaa na hawa vijana, unataka ukae naye wewe'

Related Posts

Post a Comment