const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Mrisho Mpoto Kimemsibu Nini!?? Kila Kitu ni Sawa awamu hii!? Nani Kakufumba Mdomo? - HABARI MPYA

..

Mrisho Mpoto Kimemsibu Nini!?? Kila Kitu ni Sawa awamu hii!? Nani Kakufumba Mdomo?


Kwa Hali ya taharuki iliyopo nchini kila kukicha laiti kama ingekuwa ni awamu ile huyu Mpoto saivi angekuwa na album...

Sasa ni nani kamfumba mdomo huyu mwanamashairi maarufu asiyeona haya ikosoa Serikali..

Nakuuliza Mpoto

Mbona umekaa kimya sana!??

Kila kitu kiko sawa!??

Nani kakufumba mdomo!? Au umejifunga mwenyewe...!??

Ulivyokua wamchana Mjomba mbona sasa washindwa kwa Sizonje!??

Kuna nini Mpootooo... Nakuuliza wewe Mpoto.

By Data/JF

Related Posts

Post a Comment