const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Baada ya Diamond Kuomba Suluhu Kwa Gwajima, Gwajima Asema.. - HABARI MPYA

..

Baada ya Diamond Kuomba Suluhu Kwa Gwajima, Gwajima Asema..


"Diamond Plutnumz ameepuka ugomvi na Bishop Gwajima. Big Up Diamond. Lakini jifunze zaidi, kwamba kukaa kimya wakati wa dhuluma ni dhambi kubwa. Ukumbuke zaidi kuwa, kama Mwalimu Nyerere na wale Wazee wangekaa kimya enzi hizo, hadi leo tungekuwa tunatawaliwa na Malkia Elizabeth na Si John Pombe Magufuli".-Julius S. Mtatiro
Image may contain: text 
"Leo Ibada itakuwa LIVE on YOUTUBE kuanzia saa nne na nusu, kutoka Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo Kibo Dar es Salaam. Link itakuwepo kwenye Bio yangu. Usikose"-Bishop Dr Josephat Gwajima

Related Posts

Post a Comment