const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Aliyetoa Maoni "Acha Wafe" Kwenye Habari ya Kuuawa Askari 8 Atiwa Mbaroni Mbeya - HABARI MPYA

..

Aliyetoa Maoni "Acha Wafe" Kwenye Habari ya Kuuawa Askari 8 Atiwa Mbaroni Mbeya

Aliyetoa maoni ktk Tweet ya Millard Ayo kwamba Askari 8 waliouwawa acha wafe, amekamatwa na Polisi Mbeya kwa kauli hiyo

Tuwe makini sana na Tunayoandika ama kukoment kwenye mitandao.....

Related Posts

Post a Comment