const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Zifahamua Hatua Tatu Muhimu Anazopitia Mtu Mgonjwa Ili Kukifikia Kifo...!!! - HABARI MPYA

..

Zifahamua Hatua Tatu Muhimu Anazopitia Mtu Mgonjwa Ili Kukifikia Kifo...!!!





wataalamu husema kifo huwa na hatua tatu

hatua ya kwanza ni kukikataa kifo,yaani hapa sasa mtu anahangaika kuhakikisha anaokoa uhai wake kwa kila namna

hatua ya pili ni makubaliano au mapatano, (wazungu husema kubargain) yaani hapa ndio anahangaika kweli mara mumkute katulia kama kafa mara yuko macho


hatua ya tatu ni kukikubali kifo (hapa sasa ndio mtu yuko tayari kufa nyie mnamuona kama amegive up) mtu huwa tayari kabisa kakubali matokeo kuwa ndio anaondoka.

Related Posts

Post a Comment