const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Wajanja wa Mjini Wamliza Mhe Temba Mamilioni ya Pesa Mchana Kweupe...!!! - HABARI MPYA

..

Wajanja wa Mjini Wamliza Mhe Temba Mamilioni ya Pesa Mchana Kweupe...!!!

Msanii Temba kutoka TMK Wanaume amefunguka na kuweza wazi kuwa alikwama katika muziki na kushindwa kuachia kazi zake mwenyewe baada ya kutapeliwa pesa zake na mtu ambaye alikuwa akifanya naye biashara za magari.
Mh. Temba alisema hayo kupitia kipindi cha Friday Night Live na kudai kuwa alimuamini sana Mustafa lakini hakujua kuwa alikuwa anatengenezwa ili aje kupigwa pesa zake.

WANANCHI WAOMBA SERIKALI KUODOA TAKA KIZIMBANI MAKAMBAKO MKOANI NJOMBE

Related Posts

Post a Comment