const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Polisi Wadaiwa Kumsaka Mange Kimambi. Latolewa Agizo la Siri Kwa Vituo Akionekana Akamatwe! - HABARI MPYA

..

Polisi Wadaiwa Kumsaka Mange Kimambi. Latolewa Agizo la Siri Kwa Vituo Akionekana Akamatwe!

Katika hali inayoonesha kuwa taarifa zinavuja kwa kasi na ishara kuwa Mange anakubalika kwa watu wengi hata ndani ya system, Jana Mange amepost waraka anaodai kutumiwa na mtu toka ndani ya system.

Waraka huo ulioandikwa siri unaelekeza baadhi ya maofisa wa mikoani kutoa taarifa haraka iwezekanavyo kwa vyombo husika pindi atakapoonekana maeneo ya mipakani ili akamatwe na kujibu kesi zinazomkabili....

Mange Kimambi amekuwa mstari wa mbele kuikosoa serikali hii na mambo mbali mbali katika jamii....

Related Posts

Post a Comment