const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Ben Pol na Jux wamtema Barakah the Prince - HABARI MPYA

..

Ben Pol na Jux wamtema Barakah the Prince

Muimbaji wa muziki wa RnB kutoka Tanzania Bernard Paul a.k.a Ben Pol anayefanya vizuri na wimbo wake wa ‘Phone’ amezungumzia kuondolewa kwa Brakah The Prince kwenye ziara ya muunganiko wa wasanii watatu Ben Pol Jux na Barakah.

Ben Pol amethibitisha kuwa Barakah ameondolewa katika muunganiko wao ambapo kabla ya mabadiliko hayo walizunguka katika baadhi ya mikoa ya Tanzania ambapo tamsha lao la kwanza lilianzia Dar es salaam,ikafuata Dodoma na sasa wanedna Mwanza ambapo orodha ya wasanii ameongezeka Joh Makini.
Tazama video Mtoto amvua kofia
 Papa Francis

Related Posts

Post a Comment