const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Baada ya Kusaidiwa Kwenye Nyimbo Yake ya Kwanza,Harmorapa Aaanza Kumpiga Vijembe Juma Nature,Adai Hakumfanyia Poa Hata Kidogo...!!! - HABARI MPYA

..

Baada ya Kusaidiwa Kwenye Nyimbo Yake ya Kwanza,Harmorapa Aaanza Kumpiga Vijembe Juma Nature,Adai Hakumfanyia Poa Hata Kidogo...!!!

Msanii Harmorapa amewaomba wasanii wakubwa waliopo kwenye 'game' ya muziki kuacha tabia ya kuwapiga mkwanja mkubwa 'underground' wakati wanapoenda kuwaomba kufanya nao 'collabo'
Hayo yamekuja baada ya msanii huyo kuombwa pesa ya mavazi na Juma Nature kwaajili ya kufanyia ‘shooting video’ jambo ambalo kwa upande wake limemkwaza kwa namna moja ama nyingine.

“Haipo sawa kwa wasanii wakubwa kutudai sisi ‘underground’ pesa ya kufanyia collabo wakati wanajua bado hata hatuanza kufaidika na muziki wenyewe”. Alisema Harmorapa kwenye kipindi cha eNewz ya EATV


Aidha Harmorapa amesema muda mwingine wasanii wakubwa wanatumia njia ya kutaka pesa ndefu ili mradi wa kwamishe kufanya kazi nao.

Kwa upande mwingine mzee wa kiki za mjini amesema mashairi aliyoyatumia katika wimbo wake amefanya kumjibu ‘dansa’ Mose Iyobo kutoka WCB kwa kile alichokifanya awali cha kumfananisha na sokwe.

DOWNLOAD APPS YA TZTOWN HAPA

http://www.androidcreator.com/apk/app221302.apk
WANANCHI WAOMBA SERIKALI KUODOA TAKA KIZIMBANI MAKAMBAKO MKOANI NJOMBE


Related Posts

Post a Comment