
1. Uchafu.
2. Kujisafisha kulikopitiliza ambako huondoa bacteria muhimu kwa viungo hivyo.
3. kufanya mazoezi mazito ambayo husababisha joto kali.
4. Kuvaa nguo zilizobana kupita kiasi au zito.
5. Kutumia vyakula vyenye viungo vingi (tangawisi na vitunguu)
6. Kuvyaa nguo za ndani wakati wa usiku (kulala).
7. Kutumia sabuni zenye kemikali nyingi.
8. Kufulia nguo za ndani na sabuni zenye kemikali nyingi.
9. Sex.
10. Ujauzito.
Post a Comment
Post a Comment