Mwalimu jijini North Carolina nchini Marekani amebuni mtindo wa kupeana mikono ambapo kila mmoja wa wanafunzi wake ana aina yake ya kupeana naye mikono. “Nilivyoona wanafunzi wawili wa kwanza tu na mimi nikanogewa kuangalia. Niliona ni jinsi gani wanafunzi wake walivyokuwa wanapenda utaratibu huu,” alisema mtu mmoja.
Tazama hapa video kuona mwalimu huyu na wanafunzi wake wakifurahia kupena mikono kabla ya kuingia darasani.
Post a Comment
Post a Comment