Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Christopher Olesendeka ateketeza Bangi zaidi ya Hekari 50 iliyokuwa ikilimwa kwa kilimo cha Umwagiliaji katika mapori yaliyopo kijiji cha Ng'onde kata ya Mlondwe Wilayani Makete
Habari/Picha na Redio Kitulo FM

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Olesendeka akichoma moto bangi hiyo





Post a Comment
Post a Comment