const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Mikono Huathiri Mawimbi Ya Simu Pindi Uitumiapo - HABARI MPYA

..

Mikono Huathiri Mawimbi Ya Simu Pindi Uitumiapo


Je, Inafaa kushikilia simu yako kwa kutumia mkono upi Pindi Uitumiapo…??

Utafiti umebaini kwamba mkono unaathiri jinsi Smartphone yako inapokea mawimbi.

Utafiti huo unasema simu tofauti hufanya vizuri ikiwa imeshikiliwa kwa kutumia mkono mmoja kuliko mkono mwingine.

Prof Gert Pedersen, kutoka chuo kikuu cha Aalborg anasema kwamba antena (kifaa kinachopokea mawimbi) za simu huwa zimewekwa mahali ambapo binadam hushikilia simu yake, na hivyo kuathiri jinsi simu inapokea mawimbi.
Mkono Wa Kushoto.

  • Miongoni Mwa Smartphones zinazofanya vizuri zikiwa zimeshikiliwa kwa mkono wa Kushoto Ni
  • Samsang Galaxy s7 Edge
  • Microsoft Lumia 650
  • Huawei P9
  • Tecno
  • Mkono Wa Kulia

Miongoni Mwa Smartphones zinazofanya Vizuri zikiwa zimeshikiliwa kwa mkono wa kulia Ni:
iPhone 6S Plus
LG G5
HTC 10

Prof Gert Pedersen anasema ukitumia simu yako bila kuishika kunaimarisha upatikanaji wa mawimbi ikilinganishwa na wakati ambapo umeishikilia.

Related Posts

Post a Comment