const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); 'JAMES Bond' wa Meru, Bw Julius Mwithalii aliyening'inia kwa helikopta iliyokuwa imembeba kinara wa Cord Raila Odinga amekutana na kiongozi huyo Capitol Hill, jijini Nairobi. Kwa mujibu wa Bw Robert Kathata aliye pia ni mwenyekiti wa ODM tawi la Meru, Raila ameahidi kumtafutia kazi pamoja na nduguze watatu waliokatwa mikono na miguu kwenye mzozo wa kifamilia. "Julius Mwithalii amekutana na kinara wetu Bw Raila Odinga. Wamejadili maswala kadha ikiwamo lile la kumtafutia kazi pamoja na nduguze watatu waliokatwa miguu. Mwelekeo zaidi utatolewa na Raila atakapofanya ziara Meru Jumatatu wiki ijayo," amesema Kathata akiongea na Swahilihub kwa simu. Chanzo:Swahilihub - HABARI MPYA

..

'JAMES Bond' wa Meru, Bw Julius Mwithalii aliyening'inia kwa helikopta iliyokuwa imembeba kinara wa Cord Raila Odinga amekutana na kiongozi huyo Capitol Hill, jijini Nairobi. Kwa mujibu wa Bw Robert Kathata aliye pia ni mwenyekiti wa ODM tawi la Meru, Raila ameahidi kumtafutia kazi pamoja na nduguze watatu waliokatwa mikono na miguu kwenye mzozo wa kifamilia. "Julius Mwithalii amekutana na kinara wetu Bw Raila Odinga. Wamejadili maswala kadha ikiwamo lile la kumtafutia kazi pamoja na nduguze watatu waliokatwa miguu. Mwelekeo zaidi utatolewa na Raila atakapofanya ziara Meru Jumatatu wiki ijayo," amesema Kathata akiongea na Swahilihub kwa simu. Chanzo:Swahilihub

'JAMES Bond' wa Meru, Bw Julius Mwithalii aliyening'inia kwa helikopta iliyokuwa imembeba kinara wa Cord Raila Odinga amekutana na kiongozi huyo Capitol Hill, jijini Nairobi.

Kwa mujibu wa Bw Robert Kathata aliye pia ni mwenyekiti wa ODM tawi la Meru, Raila ameahidi kumtafutia kazi pamoja na nduguze watatu waliokatwa mikono na miguu kwenye mzozo wa kifamilia.
"Julius Mwithalii amekutana na kinara wetu Bw Raila Odinga. Wamejadili maswala kadha ikiwamo lile la kumtafutia kazi pamoja na nduguze watatu waliokatwa miguu. Mwelekeo zaidi utatolewa na Raila atakapofanya ziara Meru Jumatatu wiki ijayo," amesema Kathata akiongea na Swahilihub kwa simu.
Chanzo:Swahilihub

Related Posts

Post a Comment