const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); WANAFUNZI 34 NA MWALIMU MMOJA KATIKA GARI AINA YA NOAH JIJINI DAR ES SALAAM LEO - HABARI MPYA

..

WANAFUNZI 34 NA MWALIMU MMOJA KATIKA GARI AINA YA NOAH JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Askari wa Usalama barabarani jijini Dar es salaam leo wamekamata gari aina ya NOAH ikiwa imebeba watoto 34 pamoja na mwalimu wao na kufanya jumla ya watu 35 katika gari Wanafunzi hao ni wa darasa la kwanza na pili kutoka shule za Diamond, Olympio, Kisutu, Maktaba na Bunge. Gari hiyo imekamatiwa eneo la mzunguko wa Gerezani likielekea Vijibweni-Kigamboni.Dereva na wahusika wa gari hiyo wanashikiliwa kwa mahojiano zaidi.

Related Posts

Post a Comment