const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); WAFANYAKAZI KIWANDA CHA TANWAT NJOMBE WALIA NA UTAWALA WA KIBABE - HABARI MPYA

..

WAFANYAKAZI KIWANDA CHA TANWAT NJOMBE WALIA NA UTAWALA WA KIBABE

Post a Comment


Na prosper mfugale NJOMBE
Serikali mkoani Njombe imelazimika kuunda tume Maalumu ya kuchunguza malalamiko ya wafanyakazi katika kiwa cha kuchakata mazao ya misitu TANWAT kilichoko nje kidogo ya mji wa Njombe mtaa wa kibena kutokana na wafanyakazi hao kumtaka mkuu wa mkoa kufanya ziara na kusikiliza kero zao.

Mbele ya mkuu wa mkoa wa njombe Christopher Olesendeka wafanyakazi wa kiwanda hicho wameeleza maovu wanayotendewa na watawala wao wakiwa kazini pamoja na vitisho huku wakilalamikia zaidi uwepo wa rushwa kutoka idara ya uhamiaji Njombe.

Edimundi mnubi ni afisa ni mhasibu katika kiwanda hicho ambaye anafanya kazi kama afisa utumishi ndiye anaye lalamikiwa saana na wafanyakazi.

Lakini kinachomkera zaidi mkuu wa mkoa wa njombe akiwa katika eneo la kiwanda baada ya kusikiliza kero za wafanyakazi ni mapunzo ya mishahara kulingana na taratibu za ajira na kazi Kutoka serikalini na ndipo anaamua kuunda tume ya uchunguzi kubaini ukweli ili aweze kuwasaidia wanyonge wa muda mrefu.

Kiwanda cha Tanzania wattle company TANWAT kinamilikiwa na kampuni ya waingereza na kusimamiawa na wahindi lakini kimekuwa kikiongoza kwa udhalilishaji wa wafanyakazi kwa muda mrefu.

Related Posts

Post a Comment