const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); VIDEO: RAIS DKT SHEIN AKIRI KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAALIM SEIF, ATAJA MAMBO MAWILI WALIYOPISHANA - HABARI MPYA

..

VIDEO: RAIS DKT SHEIN AKIRI KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAALIM SEIF, ATAJA MAMBO MAWILI WALIYOPISHANA




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Ali Mohammed Shein amesema kuwa hana ugomvi wowote na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif kufuatia yote yaliyotokea visiwani Zanzibar.

Rais Dkt Shein aliyasema hayo katika kipindi cha Funguka cha Azam Tv ambapo alikuwa akielezea hali iliyotokea visiwani humo hadi kufutwa kwa uchaguzi uliofanyika Oktoba 25, 2015 pamoja na mazungumzo waliyofanya na Maalim Seif kuelekea uchaguzi wa marudio Machi 2016.

Rais Dkt Shein alisema kuwa walikaa na kuzungumza pamoja na Maalim Seif lakini lilipokuja suala la kurudia uchaguzi yeye alikataa lakini Dkt Shein akasema kwavile Tume ya Uchaguzi ndio wameamua, yeye na chama chake watarudia.

Hapa chini ni sehemu ya hotuba ya Rais Dkt Shein na Tido Muhando wa Azam Tv

Related Posts

Post a Comment