const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); VIDEO: JOH MAKINI AZUNGUMZIA MADAI YANAYOTOLEWA KUWA ANABEBWA NA ‘MEDIA’ - HABARI MPYA

..

VIDEO: JOH MAKINI AZUNGUMZIA MADAI YANAYOTOLEWA KUWA ANABEBWA NA ‘MEDIA’




Kwa muda mrefu kumekuwapo madai kuwa mwanamuziki Joh Makini kutoka River Camp Soldier na Weusi Kampuni anabebwa na vyombo vya habari na kuwa si bora kama anavyoonekana.

Madai haya yameibuka tena upya baada ya mwanamuziki Young Killer kutoa wimbo wa Sinaga Swagga na kum-‘dis’ John Makini kuwa anabebwa.

Akiwa katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Joh Makini amesema kuwa anayeona kuwa amebebwa basi aone hivyo lakini yeye anajua anafanya muziki mzuri.

Joh Makini ambaye ameanza muziki mwaka 2005 ametoa nyimbo nyingi sana na amesema hiyo ndiyo siri ya mafanikio yake. Hapa chini ndiyo mazungumzo ya Joh Makini akiwa EA Radio.

Related Posts

Post a Comment