const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); NJOMBE MJI YADHIBITI MAGORI YASHINDWA KUFUNGA - HABARI MPYA

..

NJOMBE MJI YADHIBITI MAGORI YASHINDWA KUFUNGA

  MWALIMU wa timu ya Polisi Moro imemlalamikia mwamuzi aliye chezesha kiputa chao na timu ya Njombe Mji ambapo tumu yake kulitolewa kati Nyekudu dakika za Mwisho baada ya mchezaji 

wake mmoja kufanya madhami ambapo mpaka kipute hicho kina malizika timu hizo likatoshana nguvu kila moja ikishindwa kuzitikisa nyavu za mwenzake katika uwanja wa aman mjini Makanganyo kwenye mtanange wa liki daraja la kwanza. 
VT/NEXT Kutoka Njombe Furaha Eliabu anataarifa zaidi Akizungumza na Startv mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo Mwalimu wa Timu ya Polisi Moro John Tamba amesema kuwa mpuliza kipyenga huyo alikuwa ameegemea upande mmoja licha ya kuto fungana na mpinzani wake.
 VOX. Mwenyeji wake kuhusu uchezeshaji wa mwamuzi huyo anasema alikuwa fea na hakuna aliye mbeba huku mwenyekiti wa Njombe mji akisema kuwa timu nyingi zikiwa ugenini huwa na hofu na kudhani mwenyeji anapendelewa kumbe sivyo. VOX. Wachezaji wa timu zote mbili wanasema kuwa mchezo ulikuwa mzuri na kila mmoja akisimu mwenzake.
 VOX Hata hivyo mashabiki wanakili kuridhishw ana timu zao zilivyo onyeshana ubabe licha ya kuwapo kwa ukame wa magori. VOX. Njombe mji na Pilosi Moro katika mcezo wao huo zimetoka sale na kila mmoja akiondoka uwaja wa Amani Makambako akiwa na pointi yake moja Njombe mji ikizifikisha pointi zake 15 nyumba ya Polisi Moro inayo funga mwaka ikiwa na pointi 16 huku zote kikiwa katika nafansi nzuri katika ligi hiyo ya dalaja la kwanza.

Related Posts

Post a Comment