const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); NAMNA YA KUJIKINGA NA STROKE/KIHARUSI - HABARI MPYA

..

NAMNA YA KUJIKINGA NA STROKE/KIHARUSI

Ni hali inayotokea pale mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo kushindwa kupeleka damu kwenye ubongo hivyo kuathiri ufanyaji kazi wa ubongo kwa zaidi ya saa 24.

WHO wanaeleze kuwa kiharusi/Stroke ni nakisi katika neva ambayo hutokana na tatizo katika mishipa ya damu ya ubongo na ambalo huendelea zaidi ya masaa 24 au kukoma ndani ya masaa24

VISABABISHI VYA KIHARUSI
1/Mishipa ya damu kuzungukwa na mafuta yasiyo faa mwili (atherosclerotic plaque), hali husababisha kuganda kwa damu katika mishipa (thrombosis). Kuganda  huku kwa damu kunaweza kuathiri mishipa midogo au mikubwa inayopeleka damu kwenye ubongo.

2/Kuganda kwa chembechembe nyekundu za damu kwa mgonjwa wa sickle cell ambapo inaweza kusababisha mishipa ya damu kuziba.

3/Kuganda kwa damu kwenye mishipa damu kwenye sehemu nyingine za mwili.

4/Moyo kushindwa kusukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo kwenye ubongo

5/Shinikizo la damu la muda mrefu lisiloshibotiwa linaweza kusababisha kupasuka kwa mishipa midogo inayopeleka damu kwenye ubongo,  hivyo damu kujaa kwenye ubongo.

VITU VINAVYOWEZA KUMWEKA MTU KWENYE HATARI YA KUPATA KIHARUSI
shinikizo la damu, kisukari, uvutaji sigara, unywaji pombe kupita kiasi, kutofanya mazoezi, kuwa na cholesterol nyingi kwenye damu n.k

Unaweza kuzuia uwezekano wa kupata kiharusi, au hata kutibu kiharusi kwa mtu aliyekwisha patwa kwa njia ya asili tu.

Kwa nguvu iliyopo kwenye uasili wa mimea, uliopo ndani ya kimiminika cha trevo, imethibitika kuzuia na kuondoa madhara yanayotokana na kiharusi/stoke.

Kwa mawasiliano zaidi usisite kutufikia kwa 0763449749
imeandaliwa na grant sumaye

Related Posts

Post a Comment