const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); MWANAFUNZI APEWA TUZO YA GUINESS KWA UWEZO WA KUMILIKI MPIRA - HABARI MPYA

..

MWANAFUNZI APEWA TUZO YA GUINESS KWA UWEZO WA KUMILIKI MPIRA

Mchezaji Indi Armstrong Cowie ameshinda Tuzo ya Guinness ya kumbukumbu za Dunia kwa uwezo wake wa kumiliki mpira kwa miguu.

India Cowie ni mchezaji mpira wa miguu ambaye ni mzaliwa wa Marekani mwenye asili ya Uskochi. Alizaliwa Septemba 24, 1994.

Kwa sasa ni mkufunzi msaidizi wa mpira katika timu ya wanawake ya Chuo cha Carolina nchini Marekani. Aliacha kucheza mpira baada ya kupata majeraha ya mguu.

Cowie amewahi kucheza kama mlinzi wa kati na mshambuliaji katika ligi kuu ya wanawake nchini Uskochi na pia liisaidia timu ya taifa ya wasichana (U-17) ya Uskochi kutwaa mataji matatu.

Related Posts

Post a Comment