const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Maradhi haya hutibiwa na ulaji wa mboga ya majani mchicha. - HABARI MPYA

..

Maradhi haya hutibiwa na ulaji wa mboga ya majani mchicha.


1. Kuumwa mgongo

2. Kusafisha njia ya mkojo

Isikupite hii: faida za kunywa maziwa mtindi

3. Kusafisha damu

4. Unatibu tigo

5. Unatibu minyoo

6. Unatibu damu

7 .Baridi yabisi

Isikupite hii: Ndizi hupunguza maumivu ya hedhi.

8. Tezi la shingo

9. Homa

10. Kuongeza damu

11. Unatibu maumivu

12. Tonic ya nywele

13. Unasaidia kupata haja ndogo kwa wingi

Isikupite hii: Siri ya kuwa na ngozi nzuri na yenye afya.

14. Kutibu Mgongo

Chukua mchicha ponda. Chua mara 3 kwa siku. Usiku unapasha moto mchicha kishaunufunga mahali panapouma. Lala nao wakati vuguvugu la joto lake lenye maji ndani (dawa) ikiingia ndani fanya hivyo kwa siku 5, ukibadilisha kila siku (fresh)

15. Tiba ya tezi ya shingo

Chukua mchicha kiasi kidogo, ponda, fungia shingoni pale penye uvimbe wakati unapolala kwa kitambaa, kwa muda wa siku 5.

Matayarisho
Chukua mchicha kilo 1 chemsha maji lita 2 na nusu.
Yakichemka loweka mchicha kwa dakika 15. Tumia kikombe. Ni bora utumie yote kwa siku .Dozi ni siku 5.

Related Posts

Post a Comment