const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Dereva alishika simu kwa sekunde 6 tu ikasababisha ajari kubwa iliyomfanya ahukumiwe miaka 10 jela - HABARI MPYA

..

Dereva alishika simu kwa sekunde 6 tu ikasababisha ajari kubwa iliyomfanya ahukumiwe miaka 10 jela


Tomasz Kroker alikua anaendesha Lori na kilichofanya ahukumiwe miaka kumi jela miezi miwili iliyopita ni uzembe alioufanya kushika simu yake ya mkononi ili abadili muziki ambapo akiwa kwenye hizo sekunde akasababisha ajali iliyosababisha vifo.

Kwenye hizo sekunde zisizozidi 10 wakati ametazama pembeni alikuja kushtuka yuko spidi na gari lake likayagonga magari mengine mbele yake na kuua mama na watoto watatu aliokua nao ambapo video ya tukio ilipatikana kupitia camera zilizo kwenye Lori hilo.

Ni tukio lililotokea Uingereza na Familia hiyo haikuridhika na adhabu ya miaka 10 jela aliyopewa Dereva huyo wakiamini ni ndogo, unaweza kutazama video yenyewe hapa chini na naamini itakufanya uwe makini barabarani kuanzia leo mtu wangu.

Related Posts

Post a Comment