Miili ya watu nane yaopolewa kutoka katika Bahari ya Hindi baada ya boti moja iliyokuwa ikitoka Tanga kwenda kisiwani Pemba kuzama usiku wa kuamkia leo.
- Aidha mpaka sasa haijafahamika Boti hiyo ilikuwa na watu wangapi na ajali hiyo imesababishwa na nini.
UPDATE:Watu 27 wameokolewa na jumla ya miili 12 imeopolewa kutoka Bahari ya Hindi baada ya boti iliyokuwa inaelekea Pemba kuzama leo alfajiri.
Post a Comment
Post a Comment