Kuna msemo unaosema biashara ni asubuhi na jioni ni mahesabu. Msemo huu unaweza ikwa ndio anaoutumia mwanamuziki Ali Kiba baada ya kutangaza ziara yake ya kimuziki atakayoifanya nchini Afrika Kusini na Marekani.
Ikiwa ndiyo kwanza siku ya nane ya mwaka 2017, Ali Kiba tayari ametoa ratiba hiyo ikionyesha kuwa mwezi Februari atakuwa nchini Afrika Kusini huku mwezi Machi na Aprili akitumbuiza nchini Marekani.
Zisome hapa chini ratiba za ziara zake kimuziki.
Post a Comment
Post a Comment