Aslay Atuzwa Minoti Kibao Escape One Hadi Ashindwa Ibebea Angalia Hapa

Msanii wa ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka, akitoa burudani Usiku wa Wapendanao ndani ya Ukumbi wa Escape One uliopo Mikocheni usiku wa kuamkia leo. Alitunzwa pesa nyingi sana kweli ni kipenzi cha watu

Wakati akipafomu wimbo wake wa ‘Mama’, Aslay, alizigusa hisia za mashabiki waliofika ukumbini hapo akiwemo mama wa msanii Nandy ambaye alionekana kutamani kulia kutokana na maneno aliyokuwa akiongea Aslay ya kuelezea uchungu alionao juu ya kifo cha mama yake mzazi.

Related Posts

Post a Comment