TAZAMA PICHA ZA HOTELI YA MBUNGE SUGU ALIYOFUNGUA MBEYA


Wageni wakipata chakula ndani ya hoteli hiyo.

HABARI njema kwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ wa Chadema ambaye amefungua hoteli yake mpya na ya kisasa yenye jina la Desderia jijini humo.

Sugu ndani ya hoteli a familia yake.

Sugu alianza kuijenga hoteli yake mwaka 2016 ambapo aliweka bayana kuwa alipata mkopo wa CRDB BANK ambao ulimpa nguvu ya kuijenga hoteli hiyo.

Chakula.

Hoteli ina nafasi za kulaza wageni, chakula, parking na vitu vingine.


Wakati wa uzinduzi, nyumba hoteli hiyo ilibarikiwa na Padri na kunyunyiziwa maji ya baraka kabla ya kuanza kufanya kazi.

Wapishi wakiandaa chakula.

Mbunge Joseph Mbilinyi akiwa na Padri akinyunyiza maji ya baraka kabla ya hoteli hiyo kuanza kufanya kazi

Alichokiandika Sugu kwenye akaunti yake ya Instagram.

Lango la kuingia kwenye hoteli hiyo.

Ndani ya hoteli hilo.


Room ya chakula.

Hoteli hiyo kwa nje.

Related Posts

Post a Comment