Rais Magufuli Amtumbua Jipu Waziri wa Nishat na Madini Pro Muhongo..!!

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk John Pombe Magufuli Hivi punde ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madin Mhe Sospita Muhongo,Ambapo Taarifa kutoka Ikulu Zinasema kuwa nafasi hiyo itajazwa baadae.

Related Posts

Post a Comment