const adkPushParams = { host: 'push.bvsrv.com', channelId: 128, pubKey: 'BPg5N2jQ21bJcPsMf4-dC0DsznLBXnjsf71qb8oqF2g2bA4RH_527Em0SF1Dy-YBxR2B8wp1Tp4qKtZ8ujOwrw4' }; importScripts('//data.bvsrv.com/webpush/scripts/v1.1/sw.js'); Kasekenya akagua maendeleo ya mradi wa maegesho Chimbuya-Songwe. - HABARI MPYA

..

Kasekenya akagua maendeleo ya mradi wa maegesho Chimbuya-Songwe.


Na John Walter

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amefanya ziara mkoani Songwe ambapo amekagua maendeleo ya ujenzi wa maegesho ya magari katika eneo la Chimbuya na kupata maelezo ya mradi huo awamu ya kwanza, kutoka kwa Kaimu Meneja Wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mkoani humo Mhandisi Silvan Mloka.

Mloka amemuonesha Naibu Waziri Mchoro wa maegesho ya magari hayo utakavyokuwa baada ya kukamilika kwake Aprili 2024.


Ujenzi wa maegesho ya magari Chimbuya Songwe utakapokamilika utakuwa na uwezo wa kuegesha ambapo takribani magari 100 kwa wakati mmoja.


Related Posts

Post a Comment