Wanaume wengi ni wataalam wa kuwa na uhusiano na wanawake wengi kwa wakati mmoja. Sasa kwa msichana unayesoma makala hii, hizi ni dalili 9 kuwa huenda wewe si ‘baby number one’ wake bali ni mchepuko tu.
1 Mazungumzo mengi naye yanahusisha kufanya mapenzi tu, 2 Hawezi kukualika kwenye mkusanyiko wa familia yake. 3 Hapendi surprises – hapendi uende kwake bila kumwambia.
4 Ni mkali sana kwenye simu yake, hawezi kukuruhusu uishike. 5 Ni mgumu kukuonesha mahaba ukiwa naye hadharani. 6 Anahofia kupiga selfie na wewe.
7 Anapigiwa simu za ajabu ajabu. 8 Hakuiiti wewe kama girlfriend wake. 9 Akiwa na marafiki au ndugu zake anakutambulisha kwa jina lako.
Haongelei kuhusu mipango yenu ya baadaye.
Post a Comment
Post a Comment